title : Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo
kiungo : Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo
Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii
Mkulima Hassan Sangali (22) mkazi wa Pingalama wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kukamatwa akiwa na vipande Tisa vya meno ya tembo.
Mkulima Hassan Sangali (22) mkazi wa Pingalama wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kukamatwa akiwa na vipande Tisa vya meno ya tembo.
Mshtakiwa huyo anadaiwa kuwa Juni 9, 2018 eneo la Kimara Wilaya ya Ubungo mshtakiwa huyo alikamatwa na vipande hivyo Tisa chenye thamani ya dola za marekani 30,000 ambapo ni sawa na Sh 66,720,000 bila ya kuwa na kibali kutoka kwa Mkurugenzi wa Wanyama pori.
Baada ya kusomewa shtaka hilo mshtakiwa huyo hakuruhusiwa kuongea chochote kwa sababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kuisikiliza kesi hiyo hadi Mahakama Kuu.
Kesi imeahirishwa hadi Julai 23,2018 kwa ajili ya kutajwa na washtakiwa wamepeekwa rumande wote.
Hivyo makala Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo
yaani makala yote Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkulima-mkoani-dodoma-kizimbani-kwa.html
0 Response to "Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo"
Post a Comment