AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB

AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB
kiungo : AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB

soma pia


AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB

NMB yaiongezea Azam FC mkataba mwaka mmoja
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Abdul Mohamed (kulia), akimkabidhi Mkurungezi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker moja ya jezi zinazotumiwa na klabu hiyo msimu huu.

Klabu ya Azam FC imeendelea kuingia kwenye neema mpya baada ya kuingia tena mkataba mpya wa Benki ya wazalendo ya NMB.

NMB wanaonekana kufurahishwa na mambo yalivyokwenda katika mkataba wao wa kwanza na NMB baada ya kuonekana kuutendea haki mkataba wao wa awali wa benki hiyo hivyo imewaongezea mwingine wa mwaka mmoja ambao utawasaidia kupambana kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.


Hivyo makala AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB

yaani makala yote AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/azam-yalamba-tena-mkataba-nmb.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB"

Post a Comment