title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang (kushoto) kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang (kushoto) kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_5.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China."
Post a Comment