title : MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA
kiungo : MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA
MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Stephen Ulaya amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga Kura kesho (Jumapili, Septemba 16,2018) ili kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo.
Akizungumza na NEC TV wilayani Monduli leo Bw. Stephen Ulaya ameeleza kuwa maandalizi ya kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi huo yamekamilika ikiwemo usambazaji wa vifaa vya uchaguzi na Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
Hivyo makala MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA
yaani makala yote MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/maandalizi-uchaguzi-mdogo-monduli.html
0 Response to "MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA"
Post a Comment