title : RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA ..
kiungo : RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA ..
RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA ..
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ,ameitisha wananchi wa mkoa huo kupeleka malalamiko yao ofisini kwake yale yanayo husiana na utapeli wa nyumba kupitia hati kwa madai ya mkopo wa fedha.
Akizungumza na waandishi wa habari RC makonda amesema amekumekuwana utapeli wa ainayake ambapo watu hukopeshana fedha na kuweka hati ya nyumba kamadhamana na baadaya hapo aliye mkopesha na kuchukua mkopo kiasi kikubwa cha fedha bila makubaliano na mwenye hati jambo ambalo limesababisha usumbufu na dhuruma kwa wananchi .
‘’Tutakuwa na wikimoja kuanzia jumamosi ijayo wananchi wenyemikopo Bank wasiyo ielewa wapeleke taarifa zao kwa wakuu wa Wilaya na jumatatu ijayo tutakuwa nakikao sisi na mabenk kujadiliana nao namna gani nzuri zaidi wanaweza kukopesha wanachi kupitia hati za nyumba bila kuathiri mwananchi na bila Bank kupatahasara” amesema.
Amesema baadaya tatizo hili kuongezaka serikali ya mkoa imeamua kuwaomba wananchi hao kushurikiana na serikali ilikuondoa tatizo la minada yanyumba ambayo inakuwa wananchi hawakukopa na waliokopa kwa kuuziwa nyumbazao .
“Unakuta mtu amemkopesha mtu milioni tano anapewa hati naye anaenda kukopea fedha hadi million 100, na mkopo huo hashughuliki nao hadi nyumba inauzwa na matokeo yake mtu nyumba yake inauzwa , kesi kama hizo tunazo kama 500 kwa wilaya ya Kinondoni pekee’’ amesema.
Pamoja na hayo RC Makonda amesema, atapeleka mapendekezo Wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ili kilakata iwe na afisa ardhi , ilikila kata ianapopimwa awepo kulinda ardhi katika eneo husika na lengo lakelikiwa kusogeza huduma kwa wananchi na kukomesha utapeli wa ardhi .
Hivyo makala RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA ..
yaani makala yote RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA .. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA .. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rc-makonda-tutafanya-kikao-na-mabank.html
0 Response to "RC MAKONDA TUTAFANYA KIKAO NA MABANK YOTE 52 DAR ,KUHUSU UTAPELI WA HATI ZA NYUMBA .."
Post a Comment