title : DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta
kiungo : DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta
DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo ameuagiza uongozi wa bonde la Mto Wami/Ruvu kupeleka taarifa ya uchafuzi wa mto Tegeta lililoathiriwa na shughuli za Binadamu.
Chongolo aliyasema hayo wakati alipofanya ziara katika bonde la Mto Tegeta eneo la Salasala, amesema uharibifu ni mkubwa kwa shughuli za kibinadamu ambapo ni hatari kwa wananchi wa liopo kandokando ya Mto huo.
Amesema kuwa hakuna sababu ya kuacha uharibifu mazingira wakati vyombo vya kusimamia vipo.
Chongolo amesema wananchi lazima waheshimu sheria zilizowekwa katika bonde mabonde ya Mito.
"Hatuweza watu wakaendelea kuchimba mchanga huku wakiharibu mazingira na baadae serikali kuingia gharama ya kuhudumia wananchi waliohadhilika na mafuriko wakati shughuli za uchimbaji mchanga walizifanya wenyewe"amesema Chongolo.
Nae Afisa wa Maji wa Bonde la Mto wa Wami/Ruvu Simon Ngonyani amesema kuwa watu kama wanachimba mchanga lazima wafuate utaratibu.
Amesema kuwa hakuna sababu ya kuacha uchimbaji wa mchanga wa holela na kama hawataki kufuata sheria waache kuchimba mchanga katika mabonde ya Mito.
Amesema kuwa kuna operesheni wataifanya hakuna mtu atabaki salama kwa wachimbaji wa mchanga.
Aidha amesema kuwa wachimbaji wa mchanga lazima waheshimu sheria.
Hivyo makala DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta
yaani makala yote DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-chongolo-aomba-taarifa-uharibifu-wa.html
0 Response to "DC Chongolo aomba taarifa uharibifu wa Mto Tegeta"
Post a Comment