Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu.

Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu.
kiungo : Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu.

soma pia


Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu.

Leo ilikuwa ni siku ya huzuni kwa Watanzania hususan kwa Wazanzibari ambapo wapiganaji (JWTZ) wetu kutoka Zanzibar 9 tuliwaaga. Mmoja kati ya hao waliofariki huko DRC anaitwa Koplo Issa Mussa ambae alizikwa katika kijiji cha Ndijani, Wilaya ya Kati huko Mkoa wa Kusini Unguja. Katika maziko hayo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwakilishwa na Waziri wa Afya Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Mupumzike kwa Amani Mashujaa wetu #Tanzania #Zanzibar
 Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said na Waziri wa Afya Zanzibar wakishiriki katika mazishi ya mmoja wa Wanajeshi aliyefariki katika mapambano na waasi Nchini Congo wakilinda Amaani



Hivyo makala Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu.

yaani makala yote Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wananchi-visiwani-zanzibar-wakishiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi Visiwani Zanzibar Wakishiriki na Kuungana na Wanafamilia Katika Mazishi ya Wapiganaji Wetu."

Post a Comment