SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO.

SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO.
kiungo : SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO.

soma pia


SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO.



Mwambawahabari 
Huzuni na Simanzi zimetawala katika  viwanja vya Manispaa ya Kinondoni leo  katika kuaga Mwili wa aliyekuwa diwani wa Kata ya Magomeni kwa kipindi cha miaka kumi na nne(14), Mh.Juliani Rushaigo Bujugo aliyefariki juzi juzi jijini Dar es Salaam. 


Akiongoza shughuli hiyo iliyohudhuriwa pia na viongozi wa vyama na Serkali,  Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni  Mh.Benjamini Sitta amesema,  Kinondoni imepoteza mpiganaji, mpenda haki, mtetezi wa wanyonge,  na mzalendo. 
"Bujugo alikuwa mzalendo, alikuwa ni mtu aliyependa kuona mambo yanakwenda, wanyonge wanapata haki, hata siku ambayo usiku wake mauti inamkuta, Mh Bujugo alikuja ofisini kwangu mchana kwa swala la walemavu wa magomeni kuhusiana na ada ya usajili wa kikundi wanayotozwa" Alisema  Meya Sitta.


Shughuli hii ya kuuaga mwili wa marehemu Julian Rushaigo Bujugo imehudhuriwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Ndg Aron Kagurumjuli, wakuu wa idara na vitengo, wananchi wa kata ya Magomeni, pamoja na viongozi wa vyama na serikali, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Bi.Kate Kamba, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndg. Harold Maruma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda, pamoja na Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni.

Bwana ametoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi Amen.






Hivyo makala SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO.

yaani makala yote SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/simanzi-za-tawala-kuagwa-mwili-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMANZI ZA TAWALA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MH.JULIAN RUSHAIGO BUJUGO."

Post a Comment