MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO

MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO
kiungo : MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO

soma pia


MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO

Mfanyabiashara na mmiliki wa mabasi ya Princes Muro, Majid Abdallah maarufu kama Kimaro (51) akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu bara baada ya kusomewa mashtaka yanayomkabili pamoja na shtaka la wizi na utakatishaji wa mafuta.

Na Karama Kenyunko, Glogu ya Jamii.
MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Princes Muro, Majid Abdallah maarufu kama Kimaro (51) leo Oktoba 23.2018  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la wizi na utakatishaji wa mafuta.

Mwendesha Mashtaka wakili wa serikali, Esther Martin amedai mbele ya Hakimu Mkazi Maira Kasonde kuwa mshtakiwa ametenda makosa hayo kati ya Januari 2015 na Januari 2018 katika maeneo tofauti ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Katika shtaka la wizi imedaiwa siku na mahali hapo mshtakiwa aliiba Lita 15950.3 za Mafuta aina ya Diesel na Lita 10925.22 za Mafuta aina ya Petrol mali ya mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Katika shtaka la utakatishaji, imedaiwa, siku hiyo katika sehemu tofauti tofauti za jiji la Dar es Salaam,mshtakiwa alitakatisha Lita hizo za Mafuta  kwa kuyauza  na kuyabadilisha kwa fedha huku akijua kuwa mafuta hayo ni zao la kosa la wizi naa alifanya hivyo kwa lengo la kupoteza uhalisia wa mafuta.

Hata hivyo, mshtakiwa hakuruhusiwa kujibu kitu chochote mahakamani hapo Kwa kuwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haina mamlaka ya kusikilizwa kesi za uhujumu uchumi.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 5, mwaka huu itakapokuja kwa ajili ya kutajwa. Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika.


Hivyo makala MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO

yaani makala yote MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mmiliki-wa-mabasi-ya-princes-muro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO"

Post a Comment