title : Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha
kiungo : Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha
Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha
Wachezaji wa Timu ya Zanzibar Heroes Feisal Salum na Mudathir Yahya wakishereheka baada ya kiungo Mohammed Issa 'Banka' (jezi na 10) kuwafungia bao la pili la ushindi lililoizamisha Uganda Cranes
Wachezaji wa Timu ya Zanzibar Heroes wakisujudu Sijda ya Shukrani kwa Mola wao baada ya kuwatunga Waganda goli la pili la ushindi lililofungwa kwa niia ya Penelti na Mohammed Issa 'Banka'
Kungo wa Uganda Allan Kaymbadde akifanya maarifa kumpita beki wa Zanzibar Heroes, Abdallah Salum katika mchezo wa Nusu Fainali ya Cecafa. Zanzibar Heroes imeshinda 2-1 na kuingia fainali ambapo itapambana na Harambee Stars ya Kenya
Mshambuliaji wa Timu ya Zanzibar Heroes, Suleiman Kassim 'Seleembe' akiumiliki mpra dhidi ya mlinzi wa timu ya Uganda Cranes, Bernard Muwanga wakati timu hizi zilipokutana katika nusu fainali ya kombe la CECAFA. Zanzibar ilishinda Uganda 2-1
Winga wa Uganda Cranes, Allan Katterega akijaribu kumpita kiungo wa Zanzibar Heroes, Mudathir Yahya wakati timu hizi zilipokutana katika nusu fainali ya kombe la CECAFA. Zanzibar ilishinda Uganda 2-1
Hivyo makala Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha
yaani makala yote Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/uganda-cranes-v-zanzibar-heroes-katika.html
0 Response to "Uganda Cranes v Zanzibar Heroes katika Picha"
Post a Comment