KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI.

KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI.
kiungo : KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI.

soma pia


KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI.


  KAMPUNI inayojishughulisha na uuzaji wa Vilainishi Duniani ( SINOPEC) imefanya Semina ya kuwaelimisha na kuwafundisha wateja wake mbalimbali namna ya kutumia ,kwa lengo la kulinda na kutunza Mazingira.

Akizungumza hayo mbele ya Waandishi wa habari mapema leo jijini Dar,Mkurugenzi mtendaji wa SINOPEC amesema kuwa,wameamua kuwekeza nchini Tanzania kutokana na Serikali ya awamu ya Tano,kupunguza vikwazo kwa wawekezaji kama ilivyokuwa awamu zilizopita.

" Kwa Afrika tumeanza kutoa Semina nchini Tanzania, yote hiyo imetokana na mazingira ya uwekezaji kuwa rafiki,hali nzuri ya Usalama pamoja na urafiki wetu wa muda mrefu na Tanzania" alisema Wang

Amesema kutokana kuweko kwa mazingira rafiki na wezeshi ya uwekazaji,wanaamini kampuni yake itajitanua zaidi kibiashara katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania,ikiwa sambamba na kuhakikisha serikali inajipatia mapato stahiki kwa kulipa kodi .

Mkurugenzi huyo amewaomba Watanzania kwa ujumla wao kuvitumia vilainishi hivyo vyenye ubora wa Kimataifa,katika mitambo yao,mashine mbalimbali,magari na vifaa vinginevyo vinavyohitaji kutumia vilainishi.

Kwa upande wake Meneja Masoko wa kampuni hiyo ya SINOPEC, Jafali Mswahili amesema wateja wote pamoja na mainjinia watakuwa na utaratibu wa kupewa elimu ili kuwahikikishia wateja wao wanapata na kutumia vilainishi vilivyo bora zaidi.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya SINOPEC, Andy Wang akionesha baadhi ya bidhaa kwa waandishi wa habari.


Hivyo makala KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI.

yaani makala yote KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/kampuni-ya-sinopec-yatoa-semina-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA SINOPEC YATOA SEMINA KWA WATUMIAJI WA VILAINISHI."

Post a Comment