title : DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI
kiungo : DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI
DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI
Siku moja baada ya ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuagiza Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuhakikisha mabomba ya barabara ya Buguruni kwa Mnyamani yanaanza kutengenezwa hatimaye Dawasco imechukua jukumu hilo.
Kazi hiyo imeanza mapema Jana Jioni ikihusisha wataalamu waandamizi kutoka Dawasco kukagua na kuanza hatua za awali za ubadilishaji wa bomba kubwa lenye ukubwa wa inchi 10 na kuweka bomba jipya.
Hadi tunaenda mitamboni bado mafundi wa Dawasco walikuwa wakiendelea na kazi.
Hivyo makala DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI
yaani makala yote DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dawasco-waanza-ukarabati-wa-bomba.html
0 Response to "DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI"
Post a Comment