title : Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini
kiungo : Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Rais Mwinyi akiambatana na mke wake na maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, wamemtembelea Lissu hospitalini hapo alipolazwa tangu Septemba 7 anakotibiwa baada ya kuuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma.
Hivyo makala Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini
yaani makala yote Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-mstaafu-ali-hassan-mwinyi.html
0 Response to "Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini"
Post a Comment