title : MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO
kiungo : MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO
MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Alhaji Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akipitia kabrasha kushoto ni Naibu Meya wa Jiji hilo,Mohamed Haniu ambapo Meya huyo aliwataka madiwani kuheshimu taratibu za vikao.
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo,Alhaj Mustapha Selebosi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa .
Naibu Meya wa Jiji la Tanga,Mohamed Haniu akizungumza wakati wa kikao hicho kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo(CCM) Alhaj Mustapha Selebosi kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku .
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao hicho.
Hivyo makala MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO
yaani makala yote MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/madiwani-jijini-tanga-watakiwa.html
0 Response to "MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO"
Post a Comment