Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa

Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa
kiungo : Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa

soma pia


Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa

Baada ya msanii wa filamu, Bongo Wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema, hatimaye  amevunja ukimya na kufunguka ya moyoni.

Wema amesema hawezi sana kulizungumzia hilo kwa sababu maamuzi yalishafikiwa lakini anajihisi kukatishwa tamaa.

“Yaani it so complicated najikuta sipo kwenye position ya kuielezea in simple English or Swahili, siwezi lakini tubaki tu tunaomba Mwenyenzi Mungu kwamba everything it will be ok one day inshallah” Wema ameiambia K Fm, Rwanda.

“I am strong, nisingekuwa strong nisingekuwa hapa sasa hivi najaribu kusali kwa hii hali, muda mwingine kama bidamu inakuwa inanivunja moyo najihisi nimekatishwa tamaa, yaani ok!  acha nimuachie Mungu” ameongeza.

February 24 mwaka huu Wema alijiunga na Chadema akitokea CCM na December Mosi alitangaza kurudi CCM.


Hivyo makala Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa

yaani makala yote Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/baada-ya-kurudi-ccm-wema-sepetu-adai.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Baada ya kurudi CCM, Wema Sepetu Adai Kukatishwa Tamaa"

Post a Comment