Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe

Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe
kiungo : Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe

soma pia


Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo.

Novemba 9, 2017 kampuni ya udalali ya Yono kwa niaba ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliendesha mnada wa nyumba mbili za Lugumi zilizoko Mbweni JKT na moja Upanga jijini Dar es Salaam ambazo zote Dk Shika alifikia bei ya kuzinunua kwa Sh3.2 bilioni.

Mambosasa akizungumza leo Jumatano, amesema kesi yake haina mashiko hivyo hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba hizo zipo na hajatia hasara .

Amesema Dk Shika alikuwa akitamba kuwa ana fedha kumbe uwezo wake ni mdogo na kusababisha  kushindwa kulipa asilimia 25 kwa kila nyumba hizo.

‘‘Dk Shika ni wa kumuonea huruma hana kitu tulisema tunamchunguza na tutampeleka mahakamani lakini tumeona kesi yake haina mashiko ndiyo maana hatuendelei nayo,” amesema Mambosasa.

Jeshi la polisi kanda hiyo lilimshikilia na kumwachia kwa dhamana Dk Shika ambaye alikuwa akituhumiwa kwa kuharibu mnada baada ya kushindwa kulipa asilimia 25 ya fedha hizo ambapo nyumba za Mbweni JKT alifika bei kwa Sh900 milioni na nyingine Sh1.1 bilioni, huku ya Upanga alifika bei ya Sh1.2 bilioni


Hivyo makala Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe

yaani makala yote Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/jeshi-la-polisi-lampotezea-bilionea-dkt.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe"

Post a Comment