title : MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
kiungo : MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
Mwambawahabari
Msafara
wa Magari ya waombolezaji na lililobeba mwili wa marehemu Humphrey
Makundi ukipita eneo la Marangu mtoni wakati ukitoka Hospitali ya Rufaa
ya KCMC kuelekea kanisa la KKKT Usharika wa Mamba Kwa Makundi wilaya ya
Moshi.
marehemu
Humphrey Makundi alikuwa ni Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya
Scolastica iliyopo mji mdogo wa Himo ambaye inadaiwa alipotea katika
mazingira tatanishi Novemba 6, na baadaye mwili wake ukaokotwa kando ya
mto Ghona ambao uko umbali wa mita 300 kutoka shuleni hapo, na mwili
wake kudaiwa kuzikwa na Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mjini, mkoani
Kilimanjaro.
Mwili huo ulifukuliwa baada ya siku kadhaa kwa amri ya Mahakama ili kufanyiwa uchunguzi na kubainika ni mtoto huyo.
Ibada ya kumuombea marehemu Humphrey Makundi imefanyika katika kanisa la KKKT Usharika wa Kwa Makundi .
Ndugu ,Jamaa na Marafiki wakipita mbele ya jeneza kutoa Heshima zao za mwisho katka kanisa la KKKT Usharika wa Kwa Makundi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akizungumza wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu Humphrey Makundi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akimfariji Baba mzazi wa Humphrey,Bw Jackson Makundi.
Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akitoa heshima za mwisho katika ibada ya marehemu Humphrey Makundi.
Hivyo makala MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
yaani makala yote MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwili-wa-mwanafunzi-wa-scolastica_4.html
0 Response to "MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA"
Post a Comment