title : Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo
kiungo : Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo
Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa ziara ya siku tatu mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni pamoja na kuongoza sherehe za wafanyakazi za Mei Mosi. Rais Magufuli amewasili leo Aprili 29, 2017 mkoani Kilimanjaro akitokea Mjini Dodoma.
Hivyo makala Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo
yaani makala yote Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-awasili-mkoani.html
0 Response to "Rais Dkt. Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro leo"
Post a Comment