title : DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI
kiungo : DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI
DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua wasili Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi(katikati).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Hivyo makala DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI
yaani makala yote DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/dkt-shein-mgeni-rasmi-uzinduzi-wa.html
0 Response to "DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI"
Post a Comment