title : KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA
kiungo : KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA
KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA
Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria, Jaji Mkuu wa Tanzania , Mhe. Prof. Ibrahim Juma akiongea na wananchi kabla ya kufunga maadhimisho hayo katika viwanja vya shule ya sekondari ya Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akiongea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria katika viwanja vya shule ya sekondari ya Dodoma leo .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akimshukuru Mgeni rasmi baada ya hotuba yake ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria.
Sehemu ya wahudhuriaji wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria kilichofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Dodoma tarehe 8/12/2017.
Hivyo makala KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA
yaani makala yote KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kilele-cha-maadhimisho-ya-wiki-ya.html
0 Response to "KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA"
Post a Comment