title : MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga, mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha muonekano wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-afanya-uzinduzi-wa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA"
Post a Comment