title : Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar
kiungo : Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar
Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akipokea zawadi na Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar kutoka kwa Balozi wa Kuweit Nchini Tanzania Bwana Jasem Al – Najem.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Bwana Jasem Al – Najem akisisitiza umuhimu wa Nchi yake kuendelea kusaidia huduma za Kijamii Nchini Tanzania hasa kwa Watu wenye mahitaji Maalum
Balozi Seif Kulia akiushukuru Ubalozi wa Kuweit Nchini Tanzania kwa mchango wake mkubwa wa kusaidia huduma za Kijamii Nchini Tanzania.
Baadhi ya Watu wenye mahitaji maalum pamoja na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakifuatilia matukio yaliyjiri kwenye hafla maalum ya makabidhiwano ya zawadi ya Vifaa kwa ajili ya Watu wenye ulemavu.

Balozi Seif kati kati akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuweit Nchini Tanzania Bwana Jasem Al – Najem mara baada ya makabidhiano ya zwadi ya Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu.
Baadhi ya Zawadi ya Vifaa vilivyotolewa na Ubalozi wa Kuweit Nchini Tanzania kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar.
Picha na – OMPR – ZNZ.

Hivyo makala Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar
yaani makala yote Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/balozi-wa-kuwait-akabidhi-msaada-wa.html
0 Response to "Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar"
Post a Comment