MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000

MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000
kiungo : MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000

soma pia


MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000

 
Mahakama nchini Kenya imempa msichana wa shule dola 40,000 baada wa kuvuliwa nguo na polisi waliokuwa wakitafuta madawa ya kulevya katika kisa kilichotokea mwaka 2015.

Picha za msichana huyo zilidaiwa kuchukuliwa na polisi na kisha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Mahakama ilisema kuwa haki za msicha huyo wa miaka 18 wa shule ya upili zilikiukwa.

Gazeti la Standard linasema kuwa msichana huyo alipigwa picha akiwa nusu uchi na picha hizo kufuja kwa mitandao ya kijamii.

Msichana huyo kisha akapeleka kesi mahakamani akisaidiwa na shirika moja la kupigania haki za watoto akisema kuwa picha hizo zilimuathiri ambapo alitaka alipwe dola 70,000.

Gazeti la Standard lilisema kuwa msichana huyo alikuwa miongoni mwa wanafunzi wengine 44 waliokamatwa katika kituo kimoja cha biashara kaunti ya Nyeri.BBC


Hivyo makala MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000

yaani makala yote MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/msichana-aliyevuliwa-nguo-na-askari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSICHANA ALIYEVULIWA NGUO NA ASKARI POLISI, MAHAKAMA YAAMURU ALIPWE DOLA 40,000"

Post a Comment