title : Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)
kiungo : Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)
Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha ushiriki Tuzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA), Mkuu wa Rasilimali watu wa Exim Bank Tanzania, Mr Fredrick Kanga kwenye hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana usiku. Exim Bank Tanzania imeshinda tuzo ya ushindi wa jumla wa mwajiri bora wa ndani ya nchi.
Mkuu wa Rasilimali watu wa Exim Bank Tanzania, Mr Fredrick Kanga akipokea tuzo ya ushindi wa jumla wa mwajiri bora wa ndani ya nchi jana usiku katika halfa ya utoaji tuzo hizo kutoka chama cha waajiri Tanzania (ATE) Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Rasilimali watu wa Exim Bank Tanzania, Mr Fredrick Kanga pamoja na Mr Stanely Kafu, Mkuu wa idara ya masoko wa benki hiyo wakipiga picha na baadhi ya wafanyakazi katika halfa ya utoaji tuzo hizo kutoka chama cha waajiri Tanzania (ATE) Dar es Salaam jana ambapo Exim Bank Tanzania imeshinda tuzo ya ushindi wa jumla wa mwajiri bora wa ndani ya nchi.
Hivyo makala Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)
yaani makala yote Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/exim-benki-tanzania-yashinda-tunzo-za.html
0 Response to "Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)"
Post a Comment