Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke"

Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke" - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke"
kiungo : Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke"

soma pia


Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke"


Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke"MMOJA kati ya wasanii wa karibu wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni Rose Alphonce ‘Muna’ ambaye tangu aanze kukumbana na tatizo hili la kesi ya mauaji bila ya kukusudia dhidi ya msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba amekuwa naye bega kwa bega.

Muna ni miongoni mwa wasanii wa filamu zao la Kaole ambaye amejitolea kuwa kama dada wa hiari kwa Lulu, ameonyesha moyo wa kipekee kuliko msanii yeyote Bongo ambapo amekuwa karibu kuanzia siku ya kwanza ya kesi ya Lulu mpaka siku ya hukumu.

Ijumaa limemtafuta Muna na kuzungumza naye mengi juu ya ukaribu huo ambapo amesema kuwa amepokea hukumu ya Lulu ya miaka miwili jela kwa masikitiko makubwa sana lakini kitu anachoamini hilo ni jaribu tu itafika wakati litapita na ataendelea na maisha yake mengine.

Muna akitoka mahakamani baada ya rafiki yake Lulu kuhukumiwa kifungo cha mika miwili jela.
“Unajua mimi namuamini sana Mungu,naamini kabisa hilo ni jaribu na ipo siku litapita na Lulu ataendelea na maisha yake ya zamani kama kawaida,” anasema Muna.

Muna anaongeza kuwa, atakumbuka sana kipindi chote alichokuwa na Lulu, katika mambo mbalimbali waliokuwa wakifanya pamoja kwenye shida na kwenye raha ambapo walipita naye pamoja lakini kubwa atakalolifanya ni kufunga na kumuombea usiku na mchana. “Nitakumbuka nyakati zote nilizokuwa naye pindi yupo uraiani. Kuanzia siku aliopewa huku kazi yangu moja tu sasa kufunga na kuomba kwa ajili yake,” anasema Muna.
Chanzo: Global Publishers


Hivyo makala Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke"

yaani makala yote Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kifungo-cha-lulu-ni-pigo-kubwa-kwa-muna.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kifungo cha Lulu ni Pigo Kubwa kwa Muna Asema "Ntafunga na Kumuombea Usiku na Mchana Atoke""

Post a Comment