Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami

Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami
kiungo : Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami

soma pia


Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami

 Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Msami Baby amefunguka na kusema wazi kwamba aliwahi kujuta kuwa na mahusiano na Irene Uwoya baada ya kujua kwamba anamuumiza aliyekuwa Mume wa muigizaji huyo, Marehemu Hamadi Ndikumana aliyefariki

usiku wa kuaMkia jana huko Rwanda.
Msami amefunguka na kusema kwamba hakuwahi kumchukia Mwanaume huyo (Ndikumana)  na kwamba kutokana na heshima aliyokuwa anampatia ndikumana ilimfanya aamua kuvunja mahusiano  hayo.
Msami amesema kwamba baada ya kugundua kwamba Ndikumana anapambania Ndoa yake na Irene Uwoya alijihisi mkosaji kitendo kilichomfanya ajisikie vibaya na hata lugundua kwamba nikitendo kisichopendeza mbele za Mungu.
"Kuna kitu kiliniambia nachokifanya siyo sahihi, nilimwambia Irene wewe umefunga ndoa ya kikristo na mimi nimetumikia kanisani kwa muda wa miaka saba hivyo naijua vizuri dini,  kuendelea kumuumiza mwanaume mwenzangu sikuona kama kuna maana ndiyo maana nilirudi kwa Mungu wangu na kujutia makosa niliyoyafanya" Msami.
Ameongeza "Sikuwahi kumfuata Ndikumana kumuomba msamaha kwa sababu nilikuwa na mahusiano na mwanamke wake, lakini nilienda luongea na Mungu wangu kisha nikaungama dhambi zangu ndiyo maana mimi na Irene tukaendelea kuwa Marafiki lakini kusikia tena jamaa amefariki imeniumiza sana.
Msami ni mwanaume ambaye alitajwa kuwa na mahusiano na Irene Uwoya kwa muda mrefu ingawa wao walikuwa wakikanusha na baada ya kuachana Msami alikiri kwenye FNL ya EATV kwamba aliwahi kuwa kwenye  mahusiano na muigizaji huyo


Hivyo makala Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami

yaani makala yote Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/nilijiona-mkosaji-wakati-ndikumana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nilijiona Mkosaji Wakati Ndikumana Anapambana na Ndoa Yake na Irene na Sikutaka Kumuumiza Mwanaume Mwenzangu- Msami"

Post a Comment