title : KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK
kiungo : KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK
KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK
Ustadh Hajj Khamis na Ustadh Abbas wakiongoza kisomo cha Mama yake Ally Jecha Bi. Zainab M. Mwinyi kilichofanyika Mt Vernon New York siku ya Jumamosi. Ally Jecha ni Staff wa Tanzania Mission New York City.
Bi Zainab alifariki huko nyumbani Zanzibar, Tanzania.
BISMILLAH
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJ'OON
Ally Jesha akitoa shukrani kwa wa Community ya Watanzania New York baada ya kisomo
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero akipata Ukodac na Ally Jesha baada ya Kisomo.
Hivyo makala KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK
yaani makala yote KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kisomo-cha-bi-zainab-m-mwinyi-new-york.html
0 Response to "KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK"
Post a Comment