title : Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo"
kiungo : Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo"
Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo"
MWANAMUZIKI aliyejizolea jina kubwa kupitia wimbo wake wa ‘Majanga’ Snura Mushi amefunguka kuwa anatarajia kujipa tuzo ya kupambana mwenyewe kwenye maisha akiwa kama baba na mama kwa wakati mmoja.
Akizungumza na Showbiz Snura alisema kuwa, wanawake wengi siku hizi wamekuwa wapambanaji peke yao hivyo basi siyo vibaya kujitukuza.
“Kulea familia mwenyewe siyo kazi ndogo na siku hizi wanawake wengi tunapitia hili hivyo mimi mwenyewe najiandalia tuzo kabisa angalau nijipe moyo nizidi kutafuta kwa ajili ya wanangu,” alisema Snura
Hivyo makala Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo"
yaani makala yote Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/snura-ajipongeza-kulea-familia-bila.html
0 Response to "Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo""
Post a Comment