BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR

BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR
kiungo : BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR

soma pia


BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi yenye thamani ya Sh. Millioni 20 kutoka kwa Mkurugenzi Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Zanzibar Novemba 9, 2017. CRDB imekabidhi hundi hizo wa Rais Dkt. Shein ikiwa ni ahadi iliyoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango kwa Mfuko wa Rais kwa maendeleo ya uwezeshaji, sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akimkabidhi zawadi ya karafuu Mkurugenzi Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Zanzibar Novemba 9, 2017. CRDB imekabidhi hundi zenye thamani ya Sh. Millioni 20 kwa Rais Dkt. Shein ikiwa ni ahadi ya Benki hiyo kwa ajili ya mchango kwa Mfuko wa Rais kwa maendeleo ya uwezeshaji, sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wa nne kulia) na ujumbe wake, katika hafla fupi ya kukabidhi hundi zenye thamani wa milioni 20 kwa ajili ya mchango kwa Mfuko wa Rais kwa maendeleo ya uwezeshaji, sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba, iliyofanyika Ikulu, Zanzibar Novemba 9, 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mkurugenzi Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, Ikulu Zanzibar Novemba 9, 2017. 



Hivyo makala BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR

yaani makala yote BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/benki-ya-crdb-yachangia-mfuko-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR"

Post a Comment