Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji

Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji
kiungo : Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji

soma pia


Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji



Katibu Tawala Wilaya ya Arusha David Mwakiposa akizungumza leo katika warsha ya siku tatu jijini Arusha iliyowakutanisha watetezi wa haki za wafugaji nchini , mafunzo hayo yanalengo lakuwajengea uwezo watetezi hao ili waweze kuondoa migogoro inayojitokeza katika jamii(Habari Picha na Pamela Mollel Arusha)

Mratibu wa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu,THRDC Onesmo Ole Ngurumo alisema kuwa ni vizuri watetezi hao wakajengewa uwezo katika sera ,sheria na mifumo ya utoaji haki katika taifa hili na nje ya Nchi ili waweze kutetea vizuri wafugaji

Katibu mkuu chama cha wafugaji Tanzania Maghembe Makoye alisema kuwa Tanzania inamifugo na wafugaji wengi hivyo ni muhimu sana sekta hiyo kujengewa uelewa na kujielekeza kuunda mabaraza ya usuluishi katika ngazi ya vijiji,kata,tarafa hadi wilaya ili kuhakikisha kundi hilo haligombani.

Makamu Mwenyekiti Taifa Esther Laban Alimuomba Rais Magufuli kuangalia namna ya kuwaelimisha zaidi
Washiriki wa semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja leo jijini Arusha kwa semina ya siku tatu

Na Pamela Mollel,Arusha

Serikali imewaomba viongozi wa chama cha wafugaji Tanzania pamojana watetezi wahaki za wafugaji kuhakikisha wanaondoa migogoro ya wafugaji na wakulima ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara Nchini hali ambayo imekuwa ikirUdisha maendeleo nyuma






Akizungumza jijini hapa katika ufunguzi wa warsha ya siku tatu iliyowakutanisha watetezi wa haki za wafugaji nchini ,Katibu Tawala Wilaya ya Arusha David Mwakiposa alisema kuwa lengo la mafunzo hayo nikuwajengea uwezo hao watetezi ili waweze kuondoa migogoro inayojitokeza katika jamii






“Serikali tunaomba sana watetetezi wa haki za wafugaji kuangalia kwa uzito wa kipekee kuondoa migogoro ya wafugaji na wakulima na wahamasishe uwanzishwaji wa viwanda vya kuchakata bidhaa za mifugo ili kumuunga mkono Raisi Magufuli katika sera ya viwanda”Alisema Mwakiposa






Aidha alisema kuwa sekta ya wafugaji na kilimo inaajiri watanzania walio wengi zaidia asilimia 70 na ndio sekta pekee ambayo haiitaji elimu kubwa tofauti na ajira za viwandani na sehemu nyingine hivyo ni muhimu kujengwa uwezo ili kutimiza sera ya viwanda hapa nchini






Kwa upande wake mratibu wa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu,THRDC Onesmo Ole Ngurumo alisema kuwa ni vizuri wakajengewa uwezo katika sera ,sheria na mifumo ya utoaji haki katika taifa hili na nje ya Nchi ili waweze kutetea vizuri wafugaji






“Tunaamini kuwa watetezi hawa wakifahamu vizu sera na sheria wataweza kuangalia mifumo ya utoaji haki kama haitendeki kwa wafugaji wataweza kutumia fursa hiyo kuwatetea vizuri”






Katibu mkuu chama cha wafugaji Tanzania Maghembe Makoye alisema kuwa Tanzania inamifugo na wafugaji wengi hivyo ni muhimu sana sekta hiyo kujengewa uelewa na kujielekeza kuunda mabaraza ya usuluishi katika ngazi ya vijiji,kata,tarafa hadi wilaya ili kuhakikisha kundi hilo haligombani






“Nivizuri tukihamasishana kufuga kisasa ili kujiongezea tija katika uzalishaji wa bidhaa za wafugaji sanjari na kupata masoko ndani na nje ya nchi.




Hivyo makala Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji

yaani makala yote Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/maisha-serikali-yaomba-viongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maisha : Serikali yaomba Viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini Kuondoa Migogoro ya Wakulima na Wafugaji"

Post a Comment