Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani

Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani
kiungo : Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani

soma pia


Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani

NA CHRISTINA MWAGALA,OFISI YA MEYA WA JIJI

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameondoka Nchini usiku wa kuamkia leo kuelekea Nchini Ujerumani kuhudhuria mkutano wa mameya wote Duniani unaofanyika nchini humo.

Meya Mwita ameondoka Nchini hapa akiwa ameambatana na Mkugenzi wa jiji Spora Liana ,Afisa Mipango miji wa jiji, ambapo watakuwa nchini humo kwa muda wa siku nane na kurejea jijini hapa Novemba 15.

Meya Mwita amehudhuria mkutano huo wenye lengo la kujadili suala la mabadiliko ya tabia ya nchi hususani katika kukabiliana na janga la mafuriko kwenye maeneo ambayo hukumbwa na changamoto hiyo.

Aidha katika mkutano huo, Meya Mwita atatumia nafasi yake kushawishi Umoja wa Mataifa, Mameya sambamba na Taasisi zinazo husika na mabadiliko ya Tabia ya Nchi kusaidia changamoto za mafuriko ambazo zimekuwa zikilikabili jiji la Dar es Salaam.

Meya Mwita alisema kuwa kupitia mkutano huo, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wategemee mabadiliko makubwa katika suala zima la utatuaji wa changamoto ya mafuriko.

Hata hivyo baada ya kumaliza kwa mkutano huo atakunata na kufanya mazungumzo na Meya wa jiji la Hamburg ambapo awali walikuwa na makubaliano ya kuboresha miundombinu ya kuhifadhia takataka katika halmashauri ya Kinondoni (Dampo).


Hivyo makala Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani

yaani makala yote Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/meya-mwita-ahudhuria-mkutano-wa-mameya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani"

Post a Comment