Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali

Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali
kiungo : Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali

soma pia


Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali


Watu 7 wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kugongwa na lori la mizigo wakitoka kwenye sherehe ya harusi wilayani Hanang mkoani Manyara.

Ajali hiyo ambayo imetokea usiku wa Oktoba 14, 2017 imehusisha Noah yenye namba za usajili T 744 DJQ, likiwa limebeba watu wa familia moja, kugongwa na lori aina ya semi trailer lenye namba za usajili T449 CDR mali ya kampuni ya Lake Hill Paradise ya Singida, na kuleta majonzi na simanzi kwa ndugu wa marehemu.

Licha ya watu walioshuhudia, manusura wa ajali hiyo ambaye ndiye bwana harusi aliyetoka kufunga ndoa, amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari hilo Bwana Wilson Simba ambaye pia amefariki, kutokuwa makini barabarani kabla ya kuchepuka upande mwengine.

Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Manyara, Bi. Mary Kipesha, amekiri kuwa uzembe uliosababishwa na dereva ndio uliosababisha ajali hiyo na kupoteza watu wakiwemo yeye mwenyewe, na dereva wa lori ambaye amekimbia kushindwa kuchukua hatua za haraka kuidhibiti.

Mganga wa zamu wa hospitali ya Tumaini Hanang, Bwana Chaokiwa Msangi, amesema wamepokea miili hiyo  7 na kuihifadhi chumba cha maiti, huku mmoja wa majeruhi ambaye ndiye bibi harusi akipewa rufaa ya kwenda hospitali ya Haydom, kwa matibabu zaidi.


Hivyo makala Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali

yaani makala yote Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/watu-7-wa-familia-moja-wafariki-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watu 7 wa familia moja wafariki kwa ajali"

Post a Comment