Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe

Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe
kiungo : Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe

soma pia


Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe

Ikiwa ni miaka miwili imepita tangu aliyekuwa Mbunge wa Ludewa Deo Haule Filikunjombe afariki dunia, mke wa wake Sarah Habiba amesema Tanzania ina pengo kubwa kwa kumpoteza Deo.

Kwenye ukurasa wake wa instagram, Sarah Habiba ameandika ujumbe huo, huku wakiadhimisha miaka miwili ya kifo chake kwa kufanya ibada takatifu.

"Mume wangu leo umefikisha miaka miwili tangu upatwe na mauti, kiukweli umeacha pengo kubwa kwa watanzania, jamii na familia kiujumla, watoto wako wanakumiss sana, mimi mkeo, Mungu akulaze mahala pema peponi mpenzi wangu, ntakukumbuka daima mpenzi", aliandika  jana Sarah Habiba.

Deo Filikunjombe alifariki Octoba 15, 2015 kwa ajali ya helkopta iliyoanguka kwenye msitu wa hifadhi ya Selous akitokea Dar es salaam kwenda Ludewa, akiwa na rubani wake William Silaa ambaye ni baba mzazi wa Jerry Silaa, na msaidizi wa Deo Filikunjombe, Bwana Mkwera ambao pia walifariki dunia.

Deo Filikunjombe atakumbukwa kwa uchapa kazi wake na juhudi alizozionyesha kwenye kamati ya Bunge kuibua sakata la Escrow akiwa na wabunge wengine, akiwemo rafiki yake wa karibu mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.


Hivyo makala Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe

yaani makala yote Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mke-wa-filikunjombe-aandika-ujumbe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito Akiadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mumewe"

Post a Comment