title : VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE
kiungo : VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE
VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE
Mkuu wa kitengo cha maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania PLC, Brigita Stephen akikata utepe kuashiria uzinduzi wa dawati la huduma kwa wateja wa kampuni hiyo”Service desk”lililopo soko la makumbusho jijini Dar es Salaam katika kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza kufanyika leo dunia nzima,Wanaoshuhudia kutoka kushoto Meneja wa kampuni hiyo,Fredrick Laini,Mteja na mkazi wa Makumbusho,Alex Kisanga.
Alex Kisanga(kulia)Ambaye ni Mteja wa kwanza kufika katika dawati la huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania PLC,”Service desk”lililopo soko la makumbusho jijini Dar es Salaam,Akionyeshwa baadhi ya bidhaa zilizopo katika dawati hilo baada ya kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa kitengo cha maduka ya rejareja ya kampuni hiyo, Brigita Stephen(katikati)na Meneja wa kampuni hiyo,Fredrick Laini,katika kuazimisha wiki ya huduma kwa wateja inayoanza leo na kufanyika dunia nzima.
Mteja wa Vodacom Tanzania PLC,Dkt. Mdimu Ngoma akishirikiana na Mkuu wa kitengo cha maduka ya rejareja wa kampuni hiyo, Brigita Stephen,kukata keki ikiwa ni ishara ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza leo na kufanyika dunia nzima.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE
yaani makala yote VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/vodacom-tanzania-yasherehekea-wiki-ya.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE"
Post a Comment