Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
kiungo : Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

soma pia


Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Wanafamili wakati alipokuwa akielekea msikitini Nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja kabla ya  futari aliyoiandaa kwa Wananchi aliowaalika jana pamoja na familia yake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika futari na Viongozi aliowaalika pamoja na Wananchi mbali mbali Nyumbani kwake jana  Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mbali mbali wakiwa katika futari iliyoandaliwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja jana
.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati), Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Balozi Amina Salum Ali (kulia),Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma(kushoto) akifuatiwa na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dk.Sira Ubwa Mamboya,wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Baadhi ya Akinamama kutoka sehemu mbalimbali walioalikwa katika futari Nyumbani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiitikia Dua Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi jana Baada ya Futari iliyofanyika Nyumbani kwa Rais, Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi mbali mbali na Wananchi  baada ya Futari iliyoiandaa na kuwaalika Nyumbani kwa Rais, Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed Said, baada ya Futari iliyoiandaa na kuwaalika mbali mbali Nyumbani kwake  Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja jana, [Picha na Ikulu.] 09/06/2018.


Hivyo makala Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

yaani makala yote Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wananchi-wa-kijiji-cha-kibele-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wananchi wa Kijiji cha Kibele Zanzibar Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Katika Iftar Aliyowaandalia Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja."

Post a Comment