title : Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda.
kiungo : Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda.
Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda.
Na Karama Kenyunko
WAKILI wa utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Msuya, Miriam Mrita (41) na mfanyabiashara Revocatus Muyela (40), ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuita Afisa wa upelelezi makosa ya jinai wa Temeke,(RCO) aje aeleze upelelezi wa kesi hiyo umefikia wapi.
Hakimu Simba amekubaliana na ombi hilo la upande wa utetezi na kusisistiza kuwa RCO aitwe mahakamani hapo Kesi hiyo imeahirishwa hadi Octoba 16,2017 kwa ajili ya kutajwa.
Februari 23, mwaka huu, washtakiwa hao waliachiwa huru na mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa kisha wakakamatwa tena na baadaye kusomewa mashtaka hayo ya mauaji upya.
Katika kesi hiyo namba 5/2017 inadaiwa Mei 25, mwaka jana maeneo ya Kibada Kigamboni Jijini Dar es Salaam, kwa makusudi washtakiwa walimuua dada wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya.
Hivyo makala Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda.
yaani makala yote Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kesi-ya-mke-wa-bilonea-msuya-yaendelea.html
0 Response to "Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya yaendelea kupigwa kalenda."
Post a Comment