FUTARI YA PAMOJA DMV

FUTARI YA PAMOJA DMV - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FUTARI YA PAMOJA DMV, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FUTARI YA PAMOJA DMV
kiungo : FUTARI YA PAMOJA DMV

soma pia


FUTARI YA PAMOJA DMV

 WaTanzania wa DMV wakiwasili kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu DMV(TAMCO) wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan. Hii ilifanyika siku ya Jumamosi June 9, 2018 Silver Spring, Maryalnd. Picha na Vijimambo na Kwanza production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.
WaTanzania waliojumuika pamoja na marafiki zao wakipata ukodak moment kwenye futari ya pamoja.

Rich Maka kutoka Massachusetts (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa TAMCO DMV Ally Mohammed wakati wakisubili muda wa futari ufike.
Sala ya magharib ikifanyika.
Sala ya magharib ikiendelea siku ya Jumamosi June 9, 2018 katika futari ya pamoja inayokuwa imeandaliwa na TAMCO katika kila mwezi mtukufu wa Ramadhan.
WaTanzania na marafiki zao wakipata futari.
Futari ikiendelea



Hivyo makala FUTARI YA PAMOJA DMV

yaani makala yote FUTARI YA PAMOJA DMV Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FUTARI YA PAMOJA DMV mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/futari-ya-pamoja-dmv.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "FUTARI YA PAMOJA DMV"

Post a Comment