title : RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA
kiungo : RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA
RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA
MKUU wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella akifungua kikao cha kamati ya ushauri cha Mkoa huo (RCC) kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi akizungumza katika kikao hicho leo
Katibu Tawala Msaidizi Upande wa Miundombinu mkoa wa Tanga,Monica Kinala akifafanua jambo kwenye kikao hicho wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akielezea mikakati ya Bandari hiyo kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC)
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Gabriel Robert.
Hivyo makala RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA
yaani makala yote RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rc-shigella-afungua-kikao-cha-rcc-leo.html
0 Response to "RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA"
Post a Comment