Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari
kiungo : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

soma pia


Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari


W2
Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza.
W3
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam.
W4
Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo wakati wa kikao baina yake na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus.
W5
Mmoja wa wawakilishi wa Kampuni za Usambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari kutoka Kampuni ya OMD Tanzania Bw. Enos Otieno akichangia hoja wakti wa kikao baina yao na Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO



Hivyo makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

yaani makala yote Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-dkt-mwakyembe-akutana-na_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari"

Post a Comment