title : Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi
kiungo : Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi
Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi
Mbunge Mhe. Lazaro Nyalandu na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wakiwaaga Wanafunzi watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vincent Arusha, waliojeruhiwa kwenye Ajali iliyotokea Rhotia ,Karatu Arusha, Wakisafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi.
Majeruhi hao walikuwa wamelazwa katika Hospitali ya Mt. Meru Jijini Arusha, ambapo wenzao 32, walimu 2 na dereva 1 walifariki kwenye ajali hiyo mnamo tarehe 06:05:2017 katika kijiji Marera, Rhotia wilayani Karatu mkoani Arusha.
Kifaa maalum kikiwapandisha watoto hao kuingia kwenye ndege maalum kuelekea Marekani kwa Matibabu
Muonekano wa ndani ya ndege.
Hivyo makala Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi
yaani makala yote Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-afya-majeruhi-wa-ajali-ya.html
0 Response to "Matukio/ Afya : Majeruhi wa Ajali ya Karatu wasafirishwa kwenda Marekani kwa matibabu zaidi"
Post a Comment