title : MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA
kiungo : MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA
MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA
Kivuko cha MV. Nyerere kinachotoa huduma kati ya Bugorola na Ukara katika kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza
Fundi wa kivuko cha MV. Nyerere akionyesha utendaji wa injini mojawapo ya kivuko cha MV. Nyerere kinachotoa huduma kati ya Bugorola na Ukara katika kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza. Nyuma yake ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Iddi Mgwatu.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu (wa pili kushoto) akiangalia utendaji kazi wa moja ya injini ya kivuko cha MV. Nyerere katika chumba cha mifumo ya kuendeshea kivuko hicho. Kivuko cha MV. Nyerere kinatoa huduma kati ya Bugorola na Ukara katika kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza
Kivuko cha MV. Mara kinachotoa huduma kati ya Iramba na Majita mkoani Mara.
Kivuko cha MV. Ruvuvu kinachotoa huduma katika eneo la Rusumo Mkoani Kagera
Picha na Theresia Mwami
Theresia Mwami, TEMESA
Hivyo makala MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA
yaani makala yote MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mv-nyerere-kufungwa-injini-mpya.html
0 Response to "MV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA"
Post a Comment