RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA" - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA"kiungo :
RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA"
RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Rais Magufuli amesema hayo leo Oktoba 31, 2017 akiwa ziarani mkoani Mwanza ambapo alikuwa akiongea na wananchi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza na kusema kuwa yeye anataka maendeleo kwa kuwa anaamini Tanzania inahitaji kujengwa na Watanzania wote na kudai ndani ya vyama vya siasa kuna wezi ambao hao ndiyo wamechelewesha maendeleo ya nchini.
"Tunataka Tanzania mpya hilo ndiyo lengo langu kwa sababu yapo yalikuwa ni majizi makubwa sana Chama Cha Mapinduzi (CCM) yakakimbilia CHADEMA ndiyo maana sijasema CUF oyeee kwa sababu wapo waliomo CUF wengine ni wabaya sana. Mimi nataka maendeleo kwa sababu maendeleo yanaletwa na Watanzania wote tushikamane ndugu zangu tutachelewa tushikamane sasa hivi tuipeleke Tanzania yetu mbele" alisisitiza Rais Magufuli
Hivyo makala RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA"
yaani makala yote RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-magufuli-majizi-yamekimbila-chadema.html
Related Posts :
Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipokuwa katika Ukumbi wa Ik… Read More...
Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba
Mwananchi wa Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba, akielezea furaha yake kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali ju… Read More...
Waziri Hamad Rashid asifu teknolojia ya serikali mtandao katika kilimo
Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Muhammed Akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kuhusu Teknol… Read More...
Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C.
Vijana sita wa Kimarekani kutoka Mji wa Vallejo, California, (Sister City International) leo wametembelea Ubalozi wa … Read More...
Milele Zanzibar Foundation Supports Professionalism in Rural Healthcare!
Vijana Viongozi wa Mradi wa “Champions in Health”Watayarishwa Kujitolea Katika Vituo Vya Afya Vijijini
Mbweni, Zanzibar, 6 Agasti… Read More...
0 Response to "RAIS MAGUFULI" MAJIZI YAMEKIMBILA CHADEMA""
Post a Comment