AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI .

AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI . - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI .
kiungo : AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI .

soma pia


AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI .

Mwigizaji na msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi maarufu kama ‘Ray’, amewaongoza mashabiki wa Yanga SC kutoka kundi la ‘Yanga For Life’ kwenye mtandao wa WhatsApp kutoa zawadi kwa wachezaji wa timu hiyo.

Ray na wenzake wametoa zawadi ya fedha, viatu na ‘Shin Gard’, mchana wa leo kwa wachezaji watatu, waliofanya vizuri katika michezo ya Ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.

Miongoni mwa wachezaji waliopata zawadi hizo ni mshambuliaji Ibrahim Ajib ambaye amepewa kiasi cha Tsh Milioni moja, baada ya kuibuka nyota wa mchezo kwenye mechi mbili za Kagera Sugar na Stand United.

Kiungo kutoka DRC Papy Kabamba Tshishimbi, ambaye aliibuka nyota wa mchezo wa watani wa Jadi jumamosi iliyopita amepewa zawadi ya shilingi laki tano huku kipa Youthe Rostand, akipata shilingi laki mbili, viatu na ‘Shin Gard’. 

Baada ya kukabidhi zawadi hizo Ray amesema nia ya kundi lao ni kuwapa hamasa wachezaji wao ili waweze kutetea ubingwa wao wa ligi na kutwaa mara ya nne mfululizo.


Hivyo makala AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI .

yaani makala yote AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ajibu-wa-yanga-azidi-kupokea-zawadi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AJIBU WA YANGA AZIDI KUPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA WANACHAMA NA MASHABIKI ."

Post a Comment