title : Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba
kiungo : Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba
Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba
Mwananchi wa Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba, akielezea furaha yake kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali juu ya furaha yake kwa kufika Umeme Kisiwani humo.
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme (ZECO) Pemba, wakiwa na baadhi ya Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakiwa na furaha ya kupokea Waya wa Umeme kwa ajili ya kusambazwa katika Kisiwa chao.
Meli ya Mv Jitihada ikiwa na Waya wa Umeme unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Pemba, wakiwa katika meli ya Jitihada ambamo umo Waya unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo kwa njia ya maji.
Waya wa Umeme unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo ,kupitia baharini ukiwa katika meli ya MV Jitihada.
Tagi ya Shirika la Bandari Zanzibar, ambayo inaiongoza Meli ya MV Jitihada, ikiwa iko Bandari ya Fundo.
Sheha wa Shehia ya Fundo ,Khamis Abeid, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya furaha yake kwa kufika Umeme ndani ya Kisiwa hicho.
PICHA NA SAID ABRAHAMAN-PEMBA.
Hivyo makala Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba
yaani makala yote Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/umeme-wafika-kisiwa-cha-fundo-pemba.html
0 Response to "Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba"
Post a Comment