title : Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili
kiungo : Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili
Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipokuwa katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili na Uongozi wa Baraza la Kiswahili,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Bodi hiyo, Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 07/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo , Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar na Uongozi wa Baraza la Kiswahili katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 07/08/2017.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar Mhe.Mohamed Seif Khatib (kulia) akiwa na Dr.Maulid Omar Haji wakati alipokuwa akitoa taarifa ta Bodi yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili, chini ya Mwenyekiti wa kikao hocho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar Nd,Mwanahija Ali Haji (wa tatu kulia) alipokuwa akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili chini ya Mwenyekiti wa kikao hocho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili
yaani makala yote Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dk-shein-azungumza-na-uongozi-wa.html
0 Response to "Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili"
Post a Comment