YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA

YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA
kiungo : YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA

soma pia


YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA

Kikosi cha Yanga.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa wana mikakati ua kuhakikisha wanafanya vizuri katika michezo ya ligi kuu ili kuweza kupata nafasi ya kucheza tena michuano ya Kimataifa kwa kuchukua ubingwa msimu huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JKNIA Mwenyekiti wa Mashindano Hussein Nyika amesema kuwa kwa wamejiwekea mikakati mipya ya kuweza kuona wanafanya vizuri ikiwemo kupata ushindi katika kila mchezo ili wapata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa.

Nyika amesema kuwa ratiba yao ilikuwa ni kucheza na Mwadui ila kwa kuwa ratiba ya ligi imesimama  wanasubiri maamuzi ya mwalimu kuona wanaendelea na mazoezi ambapo wachezaji walioitwa na timu ya Taifa watajumuika kambini ila hawa ambao hawajaitwa watapewa mapumziko ya siku moja.

Amesema kuwa, baada ya kuhairishwa kwa mechi yao hiyo dhidi ya Mwadui kulikuwa na ratiba ya mechi ya kirafiki dhidi ya Singida United uliokuwa ufanyike mkoani Kigoma ila mpaka sasa hawajapata maamuzi ya mwalimu.

Nyika amesema kuwa hawajarejea na Kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera kwasababu amekuwa na majukumu ya kitaifa akiwa kama Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya DRC na atarejea pindi pale atakapokamilisha majukumu yake.

Akijibu swali huku mchezaji Feisal Salum kuondolewa katika timu ya Taifa, Nyika amesema kuwa yeye ndo amerejea nchini kwa sasa na hajapata taarifa hizo hawezi kujibu lolote na kusema hawezi kufanya kazi kwa kusoma kwenye mitandao ya kijamii.

Yanga imerejea nchini Leo baada ya kukamilisha ratiba ya Kombe la Shirikisho katika hatua ya makundi baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Rayon Sports ya nchini Rwanda na kushika nafasi ya mwisho wakiwa na alama 4 huku Rayon na USM Alger wakifanikiwa kutinga hatua ya robo  fainali.


Hivyo makala YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA

yaani makala yote YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/yanga-yarejea-nchini-yajiandaa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YANGA YAREJEA NCHINI, YAJIANDAA NA MIKAKATI YA UBINGWA"

Post a Comment