MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA

MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA
kiungo : MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA

soma pia


MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA

Jinamizi bado linaendelea kuwatesa timu ya 
Miembeni City ambayo kwa mara ya kwanza inacheza ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja baada ya kucheza michezo mitatu mfululizo ya awali na yote kupoteza kufuatia kipigo cha leo cha bao 
1-0 kutoka kwa JKU.
Mchezo huo umepigwa jioni ya leo katika uwanja wa Amaan ambapo bao la JKU likifungwa na Amour Suleiman (Pwina) dakika ya 35.
Kwa matokeo hayo JKU anaongoza ligi hiyo akiwa na alama 9 kufuatia kushinda michezo yake yote mitatu ya awali baada ya kuichapa Mafunzo 1-0, kisha kuwafunga Chuoni 3-2 na leo kuwamaliza City 1-0.
Kwa upande wao Miembeni City hawana hata alama moja baada ya kupoteza michezo yote mitatu ya mwanzo kufuatia kufungwa na Polisi 1-0, kasha wakachapwa 1-0 na Mafunzo na leo kumalizwa 1-0 na JKU.
Saa 8 za mchana leo ulipigwa mchezo mwengine kiwanjani hapo ambapo Timu ya Taifa ya Jang’ombe (Wakombozi wa Ngambo) wametoka sare ya 1-1 na Mafunzo.
Kwa matokeo hayo Taifa amefikisha alama 2 baada ya kufungwa 1-0 na Zimamoto, kisha wakatoka sare ya 0-0 na Polisi na leo wakatoka sare ya 1-1 na Mafunzo.
Kwa upande wake Mafunzo wamefikisha alama 4 baada ya kucheza michezo mitatu ufuatia kufungwa 1-0 na JKU, kisha wakaichapa Miembeni City 1-0 na leo kutoka sare ya 1-1 na Taifa.Ligi hiyo itaendelea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili katika uwanja wa Amaan ambapo Saa 8:00 za mchana Black Sailors watakipiga na Kilimani City na saa 10:00 za jioni Charawe watacheza na KMKM.


Hivyo makala MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA

yaani makala yote MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/miembeni-city-yaendelea-kuchapwa-mechi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MIEMBENI CITY YAENDELEA KUCHAPWA MECHI TATU MFULULIZO, JKU WANAONGOZA LIGI KUU ZENJ KANDA YA UNGUJA"

Post a Comment