BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA

BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA
kiungo : BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA

soma pia


BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA

Mwambawahabari

stars
Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, itaingia kambini tena Juni 14, mwaka huu kujiandaa na michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka la Kusini mwa Afrika (COSAFA).
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 25, mwaka huu ambako Taifa Stars itakwenda Misri, Juni 20, mwaka huu.
Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga amepanga kufanya mabadiliko madogo ya kikosi cha Taifa Stars kitakaochokwenda kushiriki michuano hiyo.

Kocha kesho atafanya uteuzi wa wachezaji wengine atakaowajumuisha kwenye kikosi chake, atafanya mabadiliko kidogo hivyo  kesho atatangaza majina ya wachezaji ambao wataingia kambini kujiandaa na michuano hii ya Cosafa inayoanza Juni 25 huko Afrika Kusini.
Wakati huo huo, awamu ya pili ya kozi ya Daraja A inayoendeshwa na Shirikisho la soka Afrika (CAF) imeanza leo kwenye ukumbi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF).
Kozi hiyo inahusisha makocha 20 ambao walishiriki kwenye kozi hiyo ya awamu ya kwanza iliyofanyika jijini Dar es Salaam Novemba, mwaka jana.
Mkufunzi wa kozi hiyo ni Mtanzania Sunday Kayuni ambaye pia atakuwa na wataalam wa masuala ya Lishe, Masoko, Tiba, Habari, Bima pamoja na mtaalam wa masuala ya upingaji wa matumizi ya utumiaji wa dawa ả kuongeza nguvu michezoni.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA



Hivyo makala BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA

yaani makala yote BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/baada-ya-kubanwa-na-lesothotaifa-stars.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA"

Post a Comment