WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA
kiungo : WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

soma pia


WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

Mwambawahabari

bens1
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akutana na balozi mdogo wa marekani Inmi Patterson (Wa pili kutoka Kushoto) katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar Es Salaam mapema asubuhi. Barozi Inmi Patterson ameahidi kuendelea kuisaidia Serikali  ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto kwa  kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi, Bima ya Afya kwa watu  wote bila kusahau masuala ya uzazi wa mpango.

Pia Mheshimiwa Ummy Mwalimu hakusita kuonesha jitihada za Serikali katika kuhudumia wananchi wake ikiwemo kuongeza ajira mpya kwa watumishi wa Afya ili kuimarisha shughuli za utoaji huduma, Kuendelea kuboresha Miundombinu hususani katika vituo vya Afya ili kuboresha  utoaji wa huduma za Upasuaji na Dharura ili kuokoa maisha ya mama na mtoto. Pia kikao hicho kilihudhuriwa na Brian Rettman kutoka PEPFAR (Wapili Kulia kutoka kwa Waziri), Sharon Cromer kutoka USAID Mission (Wa pili kushoto  kutoka kwa Mh. Waziri)  na Maestro Evans Mkurugenzi mkazi wa CDC (Wa kwanza Kushoto  Kutoka kwa Mh. Waziri).
bens2 bens3 bens4 bens5 bens6



Hivyo makala WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

yaani makala yote WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-ummy-mwalimu-akutana-na-balozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA"

Post a Comment