title : Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0
kiungo : Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0
Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0
Mshambuliaji wa Timu ya JKU akiwapita mabeki wa Timu ya Miembeni City wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshina bao 1-0.
Mchezaji wa Timu ya JKU na Miembeni City wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kocha Mkuu wa Timu ya Miembeni City Seif King akifuatilia mchezo wa Timu yake na Timu ya JKU uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya JKU akijaribu kumpita beki wa Timu ya Miembeni City.
Hivyo makala Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0
yaani makala yote Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mchezo-wa-ligi-kuu-ya-zanzibat-kati-ya.html
0 Response to "Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0"
Post a Comment